info@wated.or.tz

 +255745950950

SAUTI ZA WATOTO KATIKA MABADILIKO YA TABIANCHI

JE, UNA UMRI WA MIAKA 8–18?

Je, una simulizi, picha, mchoro au wazo ambalo ungependa kushirikisha ili jamii ijifunze kuhusu uzoefu na mtazamo wa watoto katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi?

Tushirikiane kujifunza, kuhamasisha na kujenga mustakabali bora kwa watoto na mazingira yetu.

Send your contribution via
📞 +255 745 950 950